logo

FOMU YA KUOMBA UANACHAMA (KIKUNDI/TAASISI)


MAELEZO BINAFSI YA TAASISI


TAARIFA ZA MAWASILIANO


MASHARTI YA UANACHAMA

  • i) Jaza Taarifa zifuatazo
  • ii) Hisa moja ni TSh. 5,000/=
  • iii) Mwanachama mpya anatakiwa anunue angalau Hisa 30 za kuanzia na aendelee kununua Hisa hadi zifikie 100 (zenye thamani ya TSh. 500,000/=)
  • iv) Mwanachama atapaswa kuweka Akiba kila mwezi (mara kwa mara)
  • v) Mkopo utaanza kutolewa baada ya miezi mitatu baada ya kujiunga kwenye Chama cha Ushirika.
  • vi) Marejesho ya mkopo yatafanyika pamoja na uwekaji wa Akiba kila mwezi.
  • vii) Adhabu ya 1%, 30%, 50%, 100% kwa wote watakaochelewesha Marejesho. Kiwango cha adhabu kitazingatia muda wa ucheleweshaji.
  • viii) Mwanachama atakuwa na hiari ya kukatisha Uanachama wake kwa kutoa taarifa ya maandishi ndani ya siku sitini (kufuatana na Sheria ya Ushirika).
  • ix) Pia Mwanachama anapaswa kusoma Masharti ya Chama na Sera za SACCOS.
  • ix) Gharama za Kiingilio cha Uanachama hazirudishwi
  • ix) Mwanachama anapojiunga anakubali taarifa zake kuwa zinaweza wasilshwa kwenye CRD na kwa Taasisi za kiserikari zinazoisimamia SACCOS kwa mujibu wa Sheria

UTHIBITISHO:

Taasisi ya tunatamka kwamba maelezo yote tuliyotoa ni sahihi na kweli kwa kadiri tunavyo fahamu na kwamba tumesoma na kuelewa masharti ya Uanachama wa ELCT ND – SACCOS na kwamba tumeyakubali na tutayazingatia na kuyatekeleza.

KUBALI MASHARTI


VIAMBATANISHO

Jina kamili la mtia sahihi

Kitambulisho chake (NIDA)

Picha ya mtia sahihi

Jina kamili la mtia sahihi

Kitambulisho chake (NIDA)

Picha ya mtia sahihi

Jina kamili la mtia sahihi

Kitambulisho chake (NIDA)

Picha ya mtia sahihi

Loading...