logo

FOMU YA KUOMBA UANACHAMA (MTU BINAFSI)

PICHA YA MWOMBAJI

Default Image

MAELEZO BINAFSI YA MWOMBAJI


TAARIFA ZA MAWASILIANO


TAARIFA ZA WARITHI




MASHARTI YA UANACHAMA

  • i) Jaza Taarifa zifuatazo
  • ii) Hisa moja ni TSh. 5,000/=
  • iii) Mwanachama mpya anatakiwa anunue angalau Hisa 30 za kuanzia na aendelee kununua Hisa hadi zifikie 100 (zenye thamani ya TSh. 500,000/=)
  • iv) Mwanachama atapaswa kuweka Akiba kila mwezi (mara kwa mara)
  • v) Mkopo utaanza kutolewa baada ya miezi mitatu baada ya kujiunga kwenye Chama cha Ushirika.
  • vi) Marejesho ya mkopo yatafanyika pamoja na uwekaji wa Akiba kila mwezi.
  • vii) Adhabu ya 1%, 30%, 50%, 100% kwa wote watakaochelewesha Marejesho. Kiwango cha adhabu kitazingatia muda wa ucheleweshaji.
  • viii) Mwanachama atakuwa na hiari ya kukatisha Uanachama wake kwa kutoa taarifa ya maandishi ndani ya siku sitini (kufuatana na Sheria ya Ushirika).
  • ix) Pia Mwanachama anapaswa kusoma Masharti ya Chama na Sera za SACCOS.
  • x) Gharama za Kiingilio cha Uanachama hazirudishwi.
  • xi) Mwanachama anapojiunga anakubali taarifa zake kuwa zinaweza wasilishwa kwenye CRD na kwa Taasisi za kiserikari zinazoisimamia SACCOS kwa mujibu wa Sheria.

UTHIBITISHO

Mimi natamka kwamba maelezo yote niliyotoa ni sahihi na kweli na kwamba nimesoma na kuelewa Masharti ya Chama cha ELCT ND SACCOS na kwamba nimekubali na nitazingatia na kutekeleza yote.


VIAMBATANISHO

Loading...